Starlink kwa sasa inatoa mpango wa mwaliko wa wateja katika maeneo mengi ambapo Starlink inapatikana. Tovuti ya akaunti inaweza kukaguliwa ili kujua upatikanaji. Mpango huu unapatikana tu kwa wamili wa akaunti ya makazi walio na mpango wa huduma wa Makazi, Ughaibuni GB50 au Ughaibuni Bila Kikomo. Ili kupata maelezo zaidi, tembelea starlink.com/referrals.
Kama mteja wa Starlink:
Ili kuona ni mara ngapi au kiasi cha muamana wa huduma ambacho kimetumika kwenye akaunti yako, unaweza kuingia kwenye akaunti yako kupitia wavuti na uangalie kwenye sehemu ya mwaliko.

Vizuizi vya sasa:
Ninawezaje kutumia muamana wangu wa huduma wa mwaliko?
Kwa kushiriki, unakubaliana pia na Sheria na Masharti yaliyobainishwa hapa chini:
Ili kustahiki zawadi ya mwaliko, mambo yafuatayo lazima yafanyike:
Mpango huu wa mwaliko unatumika tu kwa matoleo ya Starlink ya Makazi na Ugahibuni ambapo Starlink inapatikana mara moja. Wateja walioalikwa katika maeneo yaliyoorodheshwa kama "Orodha ya Kusubiri" kwenye Ramani ya Upatikanaji hawajumuishwi katika ofa hii: starlink.com/map.
Starlink inaweza, wakati wowote na kwa hiari yake na bila ilani ya awali, kusitisha, kughairi, kusimamisha au kurekebisha mpango wake wa mwaliko au masharti haya.
Starlink ina haki ya kuwekea kikomo, kughairi, kuchelewesha au kubatilisha zawadi ya mwaliko ikiwa Starlink itaamua, kwa hiari yake pekee, kwamba mshiriki ametenda kwa njia ya ulaghai au matumizi mabaya au ikiwa Starlink itasitisha au kusimamisha akaunti ya mtumiaji ya Starlink kwa kutegemea ukiukaji wa Masharti ya Huduma ya Starlink.
Unakubali kutojiwakilisha kama mfanyakazi au wakala wa Starlink, au kama msambazaji au muuzaji wa Seti za Starlink.
Unakubali kuikinga na kuiondolea hatia Starlink na maafisa wake, wakurugenzi, wafanyakazi na mawakala kutoka na dhidi ya, na unachukua dhima kamili kwa mashtaka yote ya wahusika wengine, kesi, madai, hasara, hukumu, fidia, gharama na matumizi yanayotokana na uzembe wako, uwakilishi potofu, ulaghai, hitilafu au kutotenda kunakohusiana na au kuhusu Starlink, Bidhaa au Mkataba huu.
Je, kuna zawadi nyingine zozote za mwaliko zinazopatikana?
Wateja mahususi wa Makazi nchini Australia wanaweza kupata kadi ya zawadi ya kulipia mapema ya $150 AUD kwa kila mwalikwa aliyefanikiwa ambaye atajisajili kabla ya tarehe 26 Desemba. Mteja mpya lazima abaki amilifu kwa mzunguko mmoja kamili wa bili ili mwalikaji apokee kadi ya zawadi. Mwalikwa bado atapokea huduma ya mwezi 1 bila malipo. Masharti mengine yote ya mwaliko yanatumika. Zawadi hii ya kadi ya zawadi haipatikani kwa wafanyakazi wa SpaceX.
Huwezi kupata kile unachokitafuta? Wasiliana na Kituo cha Usaidizi.